VideoMPYA: Tunae Madee time hii katusogezea video mpya ya ‘Hela’
byCrazy 9-
0
Tunae Madee kutoka Tiptop Connection leo na ametuletea video ya single yake mpya inaitwa ‘hela‘ na imefanywa hapahapa Tanzania na Director Khalfan, ukishaitazama usiache kutoka comment yako Tazama kwenye hii video hapa chini Madee alivyopatanishwa live